Mwanamziki mwenye mafanikio Ommy Dimpoz akizungumzia operation yake aliyofanyiwa Germany mwezi May. Pia aongelea kupata mtoto na mpenzi wake mpya. Kasema asingekuwa mwanamziki angekuwa Mfanya biashara mkubwa. #TheTrendyShow #TanzaniaTalkShows #EASTAFRICANTALKSHOW #AFRICATALKSHOWS
0 Comments